Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 412
- 407
Baadhi ya wanariadha wakubwa wa Tanzania wasusia mashindano ya karatu festivals yanayoandaliwa na kamati ya olimipiki Tanzania (TOC) ikiwa ni baada ya makamu wa rais wa TOC Henry Tandau kumkata jina kwenye uchaguzi wa kamisheni ya wachezaji na kumuita muasi/msaliti kwa kuhamasisha wenzake kuvaa mavazi ya Xtep badala ya Asics kwenye mashindano makubwa ya Olimpiki , Paris Ufaransa mwaka huu.
Karatu festivals inafanyika leo 21/12/2024 huko Karatu, Arusha.
Karatu festivals inafanyika leo 21/12/2024 huko Karatu, Arusha.