Wanaovizia scholarship za japan tukutane hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,368
50,738
Kupeana mawili matatu yanayohusu changamoto za kwenye application hio toka wizara ya elimu ya japan. Maana application imekaa Kwa lugha sio nyepesi kivile.. Mpo mliona tangazo?
 
Kupeana mawili matatu yanayohusu changamoto za kwenye application hio toka wizara ya elimu ya japan. Maana application imekaa Kwa lugha sio nyepesi kivile.. Mpo mliona tangazo?
Mkuu ndege JOHN ulifanikiwa kutuma maombi ?

Naona wametoa ratiba ya mitihani ya mchujo.
Screenshot_20240609-060459_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom