Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,914
- 30,972
Jana nilikuwa sehemu ya kinywaji nkaumia sana kuona mabinti 3 niliosoma nao wakinywa kama wanataka kwenda mwezini walipoanza kulewa tukaanza mazungumzo longtym nk.. nkauliza amjaolewa mpaka sasa jaman ndoa tatizo ndoa sugu hataree wwtote waliishia embu tunywee pombee bahaanaa hapa kama unataka kutuzalisha chagua tukupe mtoto sisi wanaume washatu choka kila unaekutana nae anakupa kimba anakimbia tule pombe
dah nkasema jaman wanaume naombeni pls njoon huku wekeni cont zenu wapendwa. tusaidie hili gonjea sugu la kutoolewa madada zetu
na nyie mnaotom...ovyo mnazalisha mnakimbia madada zetu mtalaa niwa milele nawambia
kila la kheri wotee wanaotarajiwa kupata mchumbq