Wanaosema Amli Miroud hana sifa za kukaa kwenye benchi la Yanga, nadhani waache propaganda nyepesi

Makavuli

JF-Expert Member
Aug 27, 2024
1,317
1,713
AMLI MIROUD kaajiriwa Singida na kupewa leseni na TFF ya kuifundisha Singida inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara

Leo hii inakuwaje awe na sifa za kuifundisha Singida inashiriki ligi kuu halafu hapo hapo akose sifa za kuifundisha Yanga inayoshiriki ligi iyo iyo?

Bodi ya ligi na TFF wao walishabariki na kumpa leseni kwa maana iyo wale baadhi ya vilaza wa mitandaoni na mbumbumbu wachache wanajua zaidi kuliko wanaosimamia Mpira Tanzania?

Ama alikuja Tanzania kuwa kocha msaidizi pale singida? Kocha mkubwa kama uyu awezi kuwa kocha msaidizi hapa bongo kulingana na cv yake!

Ivyo upotoshaji kama huu pia tuupuuze vijana wakishashiba viporo vya makande wanadandia Kila habari ilimradi kujifurahisha tu!
 
WEWE NI MBUMBUMBU

WEWE NI MBUMBUMBU

WEWE NI MBUMBUMBU

NIMEKUDHARAU
NIMEKUDHARAU
NIMEKUDHARAU
NIMEKUDHARAU
 
WEWE NI MBUMBUMBU

WEWE NI MBUMBUMBU

WEWE NI MBUMBUMBU

NIMEKUDHARAU
NIMEKUDHARAU
NIMEKUDHARAU
NIMEKUDHARAU
Mbumbumbu ni wale waliompigia makofi manzoki kwenye mkutano,, Rage alikuwa sahihi na mangungu akaendelea kuwaongoza na kukataa kujiuzulu nadhani unakijua alichokisema!
 
Swalli kama ameajiliwa singida kwanini hakuwepo huko singida
 
Wewe ni kilaza tu hadi pale utakapoleta ushahidi ni nani amesema Hamdi hana sifa ya kukaa benchi,kama kweli kuna mtu amesema hivyo weka screenshot ya post au uzi huo.Tatizo lako wewe huwa unakurupuka kujibu bila kusoma mjadala unahitaji nini.Ukileta hapa post hiyo tunakuondoa kwenye kundi la vilaza
 
Na Huyo hatutakula naye Idd fitr na pasaka...na yeye ataondoka..

Gusa achia arudi kwao..
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…