AMLI MIROUD kaajiriwa Singida na kupewa leseni na TFF ya kuifundisha Singida inayoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara
Leo hii inakuwaje awe na sifa za kuifundisha Singida inashiriki ligi kuu halafu hapo hapo akose sifa za kuifundisha Yanga inayoshiriki ligi iyo iyo?
Bodi ya ligi na TFF wao walishabariki na kumpa leseni kwa maana iyo wale baadhi ya vilaza wa mitandaoni na mbumbumbu wachache wanajua zaidi kuliko wanaosimamia Mpira Tanzania?
Ama alikuja Tanzania kuwa kocha msaidizi pale singida? Kocha mkubwa kama uyu awezi kuwa kocha msaidizi hapa bongo kulingana na cv yake!
Ivyo upotoshaji kama huu pia tuupuuze vijana wakishashiba viporo vya makande wanadandia Kila habari ilimradi kujifurahisha tu!