The Republican
Senior Member
- Dec 5, 2021
- 174
- 307
Ndugu wanaJF's, kuna hiki chuo kinachoitwa Cathloic University College of Mbeya(Cucom) basi kwa hivi kinavyofanyiwa matangazo, kijana wangu amevutiwa mno na chuo hicho.
Binafsi katika tafiti zangu nimekiona si chuo kizuri kihivyo na pia si kibaya kwa maana kinatambulika na TCU. lakini nyie wadau mnaweza kutoa Abc za chuo hicho.
Mimi nimemshauri sana aombe walau vyuo vyenye majina kama Udsm, Saut, SUA au hata mzumbe Lakini anadai amevutiwa mno na mandhari yale pamoja na urahisi wa maisha mkoani Mbeya.
Ushauri wenu wadau ni muhimu. Japo siwezi kumzuia lakini naweza kumpa changamoto za huko baada ya ushauri wenu.
Ahsanteni.