Wanaojiita wasanii Tanzania hawana vipaji

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,582
15,803
Kana huyu jamaa dullvani kwa mtindo huu basi kila mtu angeweza kuwa msanii.

Watu wanajua sanaa ni kitu cha kawaida tu.

Ndio maana sanaa ni kipaji na kwa sasa tanzania hawa wanajiita wasanii hawna vipaji.

Kila siku kuteletea mambo ya ajabu.

Kuna wale jana wa futui walikuwa wanatoa vichekesho Mwanza kwenye sijui utamaduni wa mama “yani unaona mtu achekeshi ili mradi”

Hawa sasa wanaojifanya stand comedy sijui wengine ni wasanii wa nini yani mpaka unaweza kuchoka na haya mambo, na wengine naona wamelewa sifa kabisa hata asili ya kuchekesha imekufa kujaa mauzui ya ngono! bora ni mtaje JOTi. Yani kama unaangalia na wanao ni aibu tupu kuliko alivyokuwa zamani.

Kuna mwengine ndio kabisa

IMG_0346.jpg


Yani mpaka mtu unajisikia vibaya sasa ukiwa na mtoto wa kiume wenye mitindo hii sasa.

Au LIL nas x wa baadae

Maana hata marapa wa huko ulaya wamevamiwa na watu wenye tabia za ajabu na kufanya mziki wa kufoka kuwa laini, na wengine tunao humu Tanzania
 
Back
Top Bottom