Wananiambia nilipe ada wakati bado NACTE hawajatoa jina kuwa nimechaguliwa

May 12, 2016
19
2
Nilienda chuo flan hivi dar kuomba nafasi ya kusoma katika chuo chao,
Nikalipia form ya kujiunga na pesa ya nacte na wakanifanyia maombi kweli kwenye CAS na wakanitumia user name na password ya CAS.
sasa wameniambia nilipie na ada kabisa bila nacte kutuma majina yetu kama tumechaguliwa kuijiunga na hicho chuo!

Je ni sahihi kulipa ada kabla ya NACTE hawajatangaza majina????

Naomba mnifahamishe juu ya jambo hili kwa wenye kuelewa zaidi!
 
Vyuo vingi private vinajiendesha kwa ada ya wanafunzi havina extra source,matokeo yake vinashinda kulipa mishahara ya walimu..
hivyo ndiyo maana wanakwambia ulipe ile walipe walimu wao.
 
napenda kuwauliza watu jf kuhusu nacte eti ni kweli vyuo vya clinical officer wanao chaguliwa sana ni form six kuliko form 4 ata kama una vigezo unaachwa kwakua kuna competation kubwa jaman kuna ukwel katik hilo
 
vyuo vya private huwa wanapata selection zao kabla hata nacte hawajayatangaza lkn hii ni kwa kozi ya uafisa tabibu(daktari wa diploma) but kwa kozi na kada nyingine sujui
 
Kwa vyuo vya private unacahguliwa ata kama nacte awajatoa majina kwa mtu wa dip na sert ili mradi uwe na vigezo vyao.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…