The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 633
- 1,082
Wananchi kutoka Vijiji 112 katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria ambao kwa sasa utekelezaji wake unaendelea kwa Awamu ya kwanza.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu Gagi Lala wakati akizungumza katika Hafla ya kupokea Mabomba ya Mradi huo huku Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani akisema kuwa mradi huo ulikuwa ni hitaji kwa Wananchi kwa muda mrefu.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Shinyanga Mabala Mlolwa amewataka wananchi kutambua Mchango wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mbunge wa Ushetu Emmnauel Cherehani kwa jitihada zao kutatua changamoto zinazowakabili wananchi.
Mradi wa Maji kutoka Ziwa Victoria kwenda Halmashauri ya Ushetu unaendelea na Utkelezaji wake ambapo ukikamilika unatajwa Kwenda kusaidia Changamoto ya Upaikanaji wa Maji safi na Salama kwa Wananchi.