Na hawatoki kweli,kwani hata ukiangalia sehemu nyingi waliopiga kura ya kujitoa ni vitongoji duni wakidhani kuwa kubaki pekee yao kutawapa unafuu wa maisha kumbe ndio tabu zaidi,,mfano Scotland nao wanataka waitishe kura ya maoni tena juu ya kubaki kwao Uk,kwani wao waliaminishwa kuwa umoja ni nguvu wakati walipotaka kujitenga na UK!leo wao wanataka kubakia EU,na hii UK wasipokuwa makini yale maneno ya mwalimu nyerere yatatimia,hawatabaki salama kamwe,na sasa hivi tu wameshaanza kubaguana hususani wageni.kwenye democracy kuna maamuzi mengine ni ya kimuzuka zaidi harafu badaye mnakuja juta,hivyo pamoja na democracy ni lazima na mambo mengine yaangaliwe pia,choka mbaya wengi ndio walipiga kura ya LEAVE,
Unaona mbali sanaUnajitafutizatafutiza vijimifano vya kuhalalisha kupinga maamuzi ya UMMA.
Wewe ndio unataka kuhalalisha minority orders kwa kutuonesha nini waingereza wanataka kufanya.Tatizo ni kwamba hili lingefanyika Afrika la kupindua maamuzi ya wengi ungewaona akina Baregu, Kitila, Zito & Co. ambavyo wangetoka povu na kuanza kuwanukuu akina Obama kwamba Obama alisema hivi mara vile lkn hapa kwa kuwa ubakwaji huu wa kidemokrasia anaufanya Mzungu basi mahouse nigas watatafuta sababu ya kuhalalisha ...
Source?Baada ya wananchi wa nchi ya Uingereza huko bara Ulaya kutumia haki yao ya kikatiba na kupiga kura ya kutokuwa na imani na nchi yao kuendelea kubakia kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya sasa wakubwa wa nchi hawataki kutii uamuzi huo na wanataka kuupindua na ukweli ni kwamba Uingereza haitatoka EU pmj na kwamba wananchi walio wengi wanataka iwe hivyo ...
Hili lingefanyika Afrika sasa hivi ma house niga wa kiafrika wangetoka povu kulipinga na kuita udikteta lkn kwa sababu ni Mzungu basi mahouse niga watakuja na sababu za kutetea na kuhalalisha ubakaji huu wa demokrasia unaofanyika huko Uingereza!
Umoja kati ya maskini na tajiri ni shida tupu. Kuna vi nchi kwenye EU ni kupe tu.Demokrasia za kujiondoa ktk muungano hazikubaliki ni udikteta tu kwa kwenda mbele.
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu
Anaetaka kujitoa akaanzishe nchi yake
Acha uongo ndg. ....waingereza washatoka na juzi tu Cameron kasema bungeni kuwa hakuna kura nyingine za maoni. ....sasa wewe mwenzetu sijui umezipata wapi habari hizi wkt mimi mkazi sijazisikia.Hakuna unachokielewa, subiri sasa uone kama Uingereza itaondoka EU!
You look younger but already qualifies to be a Corrupt African Politician!Baada ya wananchi wa nchi ya Uingereza huko bara Ulaya kutumia haki yao ya kikatiba na kupiga kura ya kutokuwa na imani na nchi yao kuendelea kubakia kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya sasa wakubwa wa nchi hawataki kutii uamuzi huo na wanataka kuupindua na ukweli ni kwamba Uingereza haitatoka EU pmj na kwamba wananchi walio wengi wanataka iwe hivyo ...
Hili lingefanyika Afrika sasa hivi ma house niga wa kiafrika wangetoka povu kulipinga na kuita udikteta lkn kwa sababu ni Mzungu basi mahouse niga watakuja na sababu za kutetea na kuhalalisha ubakaji huu wa demokrasia unaofanyika huko Uingereza!
Mkuu Uingereza imeshapiga kura ya kujitoa. Na hawarudi nyuma. Sasa kama kuna watu huko kwao wanaoonesha kutokuridhika, hilo ni jambo la kawaida tu mbona. Hata kwenye chaguzi zetu matokeo kuna watu huwa wanayapinga mwanzoni lakini baadaye wanaendelea na maisha. Hicho ndicho kinachotokea Uingereza.Hakuna unachokielewa, subiri sasa uone kama Uingereza itaondoka EU!
Acha uongo ndg. ....waingereza washatoka na juzi tu Cameron kasema bungeni kuwa hakuna kura nyingine za maoni. ....sasa wewe mwenzetu sijui umezipata wapi habari hizi wkt mimi mkazi sijazisikia.