ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 58,676
- 69,303
My Take
Kwa moto huu wa Dk.Mollel Hapa Chadema Hamna Chenu ππππ
Wananchi wa kijiji cha Roseline, kilichopo kata ya Ndumeti, wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro wakionesha furaha na bashasha kubwa ya ujio wa Mbunge wa jimbo la Siha (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel alipowasili kijijini hapo.