mtafute Nape ktk group lake la whatspp ndio watu wa kusini wanapatikana ila sio humuUmefika wakati sasa kwa wanachama wa Jamii Forums ambao ni wenyeji wa Lindi
na Mtwara kukutana hapa na kufahamiana. Lengo na kupaza sauti zetu pale itakapolazimika,
kuelezana changamoto mbalimbali zinazotukabili na namna ya kuzitatua. Changamoto hizi
zinaweza kuwa zile Tunazokabiliana nazo kutokana na watendaji walioko serikalini kama
vile watu wa Ardhi n.k, au kupeana taarifa mbalimbali kama mwenzetu amekwama kwa
namna ambavyo unaweza kuhitajika msaada wa Hali au Mali n.k
Na mengi mengineyo ambayo tunaweza kuyafanya, Karibuni tufahamiane.
Vzr sanaUmefika wakati sasa kwa wanachama wa Jamii Forums ambao ni wenyeji wa Lindi
na Mtwara kukutana hapa na kufahamiana. Lengo na kupaza sauti zetu pale itakapolazimika,
kuelezana changamoto mbalimbali zinazotukabili na namna ya kuzitatua. Changamoto hizi
zinaweza kuwa zile Tunazokabiliana nazo kutokana na watendaji walioko serikalini kama
vile watu wa Ardhi n.k, au kupeana taarifa mbalimbali kama mwenzetu amekwama kwa
namna ambavyo unaweza kuhitajika msaada wa Hali au Mali n.k
Na mengi mengineyo ambayo tunaweza kuyafanya, Karibuni tufahamiane.
Ni hospital ya mkoalindi-mtanda.
Hospital...Sokoine.
Hahamtafute Nape ktk group lake la whatspp ndio watu wa kusini wanapatikana ila sio humu
Hamasisha sasaUshirikiano ulikuwepo wakati wa gas tu!
Mambo mkuuMtanda lindi
Karibu na weweHamorapa njoo huku unaitwa