Kujiunga wap!?,weka waz ieleweke.Ni ukweli usiopingika kwamba kuna idadi kubwa ya wanajeshi wanaoishi na VVU chini ya jangwa la Sahara, ila ni swala linalonishangaza ni vipi wanaupata, 'sijui' Je ni sababu gani inayopelekea kuwepo kwa idadi kubwa ya waathirika jeshini? Je taratibu zinaruhusu wao kujiunga?
Hivi huwa wanazuiwa kuwa na wake!!!!!Kukaa kambini muda mrefu bila ya kuruhusiwa kuowa ni chanzo kimojawapo.
Mtu unapesa alafu unazuiwa kuwa na mke ni kasheshe.
sio sababu mana unaweza ukawa na gf wako mmoja tu mkatimiziana haja zenu mpaka hapo mtakaporuhusiwa kufunga ndoaKukaa kambini muda mrefu bila ya kuruhusiwa kuowa ni chanzo kimojawapo.
Mtu unapesa alafu unazuiwa kuwa na mke ni kasheshe.
Huyo gf akusubirie tu mpaka mwezi ,miezi urudi toka kambinisio sababu mana unaweza ukawa na gf wako mmoja tu mkatimiziana haja zenu mpaka hapo mtakaporuhusiwa kufunga ndoa
Andiko lako lina dalili flani za hujuma na huenda ukawa umekimbiwa na mkeo au hawara naa amenasa kimahaba kwa soldier na labda ƴungekuja na tafiti rasmi sio mtizamo binafsi , kimsingi tatizo la ukimwi lipo kila sekta kama malaria au typhod, naNi ukweli usiopingika kwamba kuna idadi kubwa ya wanajeshi wanaoishi na VVU chini ya jangwa la Sahara, ila ni swala linalonishangaza ni vipi wanaupata, 'sijui' Je ni sababu gani inayopelekea kuwepo kwa idadi kubwa ya waathirika jeshini? Je taratibu zinaruhusu wao kujiunga?
Kwenye sqala la afya napingana nawe au landa useme unalizumgumzia jeshi la miaka ya 70s - 80s? Swala la afya kwa mwanajeshi ndio kipengele cha kwanza na kinazingatiwa sana. Hayo mengine ni hulka za mtu tuUkitafuta watu ambao ni careless kwa afya zao bila shaka utakuta wanajeshi wanaongoza.
Ukitafuta watu wafujaji, wanaotumia bila kuangalia kesho bila shaka wanajeshi wanongoza.
Wanajeshi wengi hawabagui, mwanamke wa aina yoyote wao hubeba tu.
Mwanamke yeyote akitembea na mwanajeshi utasikia watu wanasema kashaisha huyo alitembea na mwanajeshi.
Ni ukweli usiopingika wanajeshi katika jamii ni kindi linaloongoza kwa kuwa na ngoma.
huzingatiwa sana wakati wa kuajiri baada ya hapo mambo huwa kawaida..... uliza waliopitia depo iwe polisi magereza au jwtz watakuambia kulivyo na ngono zembe......Kwenye sqala la afya napingana nawe au landa useme unalizumgumzia jeshi la miaka ya 70s - 80s? Swala la afya kwa mwanajeshi ndio kipengele cha kwanza na kinazingatiwa sana. Hayo mengine ni hulka za mtu tu
Unachokataa nn wajeda wa bongo wanafanya ngono zembe sana ,wanachukua sana malaya labda sababu hawaruhusiwi kuoa mpaka miaka kadhaa ipiteAndiko lako lina dalili flani za hujuma na huenda ukawa umekimbiwa na mkeo au hawara naa amenasa kimahaba kwa soldier na labda ƴungekuja na tafiti rasmi sio mtizamo binafsi , kimsingi tatizo la ukimwi lipo kila sekta kama malaria au typhod, na
hamna taasisi inayojali afya kama Jeshi kutokana na majukumu wanayo ya tekeleza ndani na nje ya nchi na inaongoza kwa kuchangia damu salama we ukiambiwa unakatoe nafkiri utatoa visingizio zaidi ya mia
Kwa hiyo wote wanaishi maisha ya aina hiyo moja unayoifahamu weweUnachokataa nn wajeda wa bongo wanafanya ngono zembe sana ,wanachukua sana malaya labda sababu hawaruhusiwi kuoa mpaka miaka kadhaa ipite
Kuna mjeda huku akirudi huwa anaruka sana viwanja mara travertine ,Mara wapi na pombe kwa wingi
Hilo ni ukweli kuhusu ukimwi usikatae kutokana na aina ya maisha wanayoishi wao
Kwa hiyo wote wanaishi maisha ya aina hiyo moja unayoifahamu wewe