Isecure Technology ni kampuni inayojishughulisha na kufunga mifumo mbali mbali ya ulinzi maofisini na majumbani. Hii mifumo ni kama CCTV camera, Electric fence, Bio-metric time attendance and Access control. Pia tunajishughulisha na ufungaji wa GPS kwenye magari na Pikipiki
Kwa sasa tunahitaji mafundi WATANO wenye uzoefu na ambao tayari wameshawahi kufunga Door Access control
DOOR ACCESS CONTROL inajumuisha vitu vifuatavyo
Access control device with power supply
Magnetic door lock
Push to exit button
Touch-less exit button
Emergency glass break
Ethernet cable (Cat 6)
Tunataraji muombaji awe na uwezo wa kufunga system yote kwenye mlango pamoja na uwezo wa kufanya (Networking) kwa ajili ya kuunganisha milango mingine ifanye kazi kwa pamoja.
kazi itadumu kwa miezi mitatu. inatarajiwa kuanza mwezi wa nne mpaka mwezi wa saba (APRIL -JULY)
Kama unasifa na uzoefu mkubwa tuwasiliane kwa kupitia 0710141917. Kazi hii ni kwa ajili ya watu wanaoishi Dar-es-saam pekee
Unapopiga simu Jitambulishe kwanza wewe ni fundi wa ACCESS CONTROL.