Watu walio wengi wanahitaji kuhamasishwa. Watu wenye mwamko watoto wao ndiyo walioripoti na wengine wapo private waliobaki ada ilikuwa kisingizio tu lakini ukweli ni kuwa mwamko wa kuwapeka watoto shule haupo.
Kwa hiyo serikali ifuatilie na kuwaadhibu wote ambao hawajapeleka watoto shule. Watoto hao ni mali ya Taifa wazazi ni wadhamini tu hivyo wasiwanyime haki yao.