Baraza letu la mitihani pamoja na wadau wa elimu wafanye utafiti wa kina ila kubaini tatizo, kwa nini wanafunzi wanafeli kila mwaka kwenye masomo haya;
1. Basic Mathematica
2. PHYSICS
3. GEOGRAPHY
Mbaya zaidi hata masomo ya kidini yaani Bible knowledge na Elimu ya Dini ya kiislamu, unakuta wanafunzi wamefeli.
Nashauri kila shule ifanye tathimini na utafiti ili kubaini tatizo na Kisha kuchukua hatua mapema.
Lakini ushauri wa ujumla ni kwamba mamlaka za elimu, Baraza la mitihani lisiishie tu kutoa matokeo bali pia liwe na utaratibu wa kutoa sababu za kufeli ili kila shule ifanyie kazi tatizo husika.