A
Anonymous
Guest
Kuna hiki chuo chetu cha DAR ES SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY (DIT) chuo toka kimefunguliwa wiki ya 7 sasa lakini wanafunzi hatujasajiliwa kisa mfumo unao-monitor wanafunzi yaani "SOMA-DIT" una changamoto, na tunapojaribu kufuatilia pengine ikibidi kwenda kwa watu wa system hawaji hata ofisini. Unaweza kuta mfanyakazi mmoja tu kati ya team nzima, mwisho watu tunatumia hadi hela za Ada
Kiufupi Uongozi wa chuo unafanya uzembe unaopelekea hadi wafanyakazi wake kurelax. Imagine system ina shida na watu wa system hawatokei ofisini hasa hiyo system itakaa sawa lini kama wafanyakazi hawaji, Wanaingia saa sita kweli! na Saa tisa wanaondoka!
Ni balaa hii aisee