Nyakijooga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 263
- 468
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga ameagiza kuchukuliwa hatua kwa baadhi ya Walimu wanaodaiwa kuchukua rushwa na kuwaandikia mahudhurio ya uongo Wanafunzi 48 wa kike waliobainika kuwa na ujauzito ndani ya kipindi cha mwezi mmoja Wilayani Simanjiro.