Wanafunzi 12,536 hawakufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,591
8,817
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022, Tanzania Bara na Visiwani.

Matokeo hayo yametangazwa leo Jumapili, Januari 29, 2023, makao makuu ya Necta jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Athumani Amasi.

Angalia hapa matokeo ya kidato cha nne 2022

WANAFUNZI 12,536 HAWAKUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA 4

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022 ambapo Watahiniwa 456,975 kati ya 520,558 (87.79%) wamefaulu kwa Madaraja I, II, III na IV.

Kati yao Wasichana ni 243,285 (87.08%) na Wavulana ni 213,690 (88.60%). Matokeo haya ni kutoka Shule za Tanzania Bara.
 
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022, Tanzania Bara na Visiwani.

Matokeo hayo yametangazwa leo Jumapili, Januari 29, 2023, makao makuu ya Necta jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza hilo, Athumani Amasi.

Angalia hapa matokeo ya kidato cha nne 2022

WANAFUNZI 12,536 HAWAKUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA 4

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022 ambapo Watahiniwa 520,558 (87.79%) wamefaulu kwa Madaraja I, II, III na IV.

Kati yao Wasichana ni 243,285 (87.08%) na Wavulana ni 213,690 (88.60%). Matokeo haya ni kutoka Shule 456,975 za Tanzania Bara.
Watahiniwa 520558
Shule zipo 456,975 Tanzania bara tu.
Tumepiga sana hatua mkuu
Yaani kila shule mwanafunzi 1.
Hongereni sana wizara ya elimu.
 
Watahiniwa 520558
Shule zipo 456,975 Tanzania bara tu.
Tumepiga sana hatua mkuu
Yaani kila shule mwanafunzi 1.
Hongereni sana wizara ya elimu.
Imerekbishwa mkuu, kulikuwa na errors kwenye kunukuu namba.
 
Watahiniwa 520558
Shule zipo 456,975 Tanzania bara tu.
Tumepiga sana hatua mkuu
Yaani kila shule mwanafunzi 1.
Hongereni sana wizara ya elimu.
Hapo umechanganya kidogo mahesabu.
Shule zipo 520558 na watahiniwa 456975 kwa takwimu zao!😆😆😆
 
Back
Top Bottom