habari zenu...
Ni lini wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi itatoa muafaka wa muongozo wa mihula kwa wanafunzi hawa waliodahiliwa mwaka jana 2016 na kuripoti November mwaka jana.
mpaka sasa hawaelewi muongozo wa likizo zao katika kozi hii ya ngazi ya cheti ualimu shule za msingi na ni takribani miezi mi 5(1november 2016 mpaka 1march 2017) sasa hawajapata hata likizo.
serikali itatoa lini miongozo kwa hawa vijana wetu wanaosomea ngazi ya ualimu Daraja la tatu A.
[HASHTAG]#ahsanteni[/HASHTAG] wakuu