Wanachama wa Simba mnadanganywa.... Mmepumbazwa!

Nanoli

JF-Expert Member
Oct 15, 2015
3,735
5,970
Kupitia ITV Jana kwenye habari za michezo, nimemsikia ndg, Hans Pope ikiwalaghai wanachama wa Simba kwamba, malalamiko yao ya kudai point 3 za kagera sugar wapewe wao... Huu ni umbumbumbu kwa wale wanaoamini viongozi hawa wa Simba.......
Viongozi wa Simba wanawalaghai wanachama wao ili waamini kwamba simba imekosa ubingwa kutokana na Figisu za TFF, huku wakijificha kwenye mwavuli wa point 3 za kagera... Hawataki kukubali kuwa uongozi umefeli kuisaidia club kubeba kombe,... Hii ni kwasababu wanaelekea kwenye uchaguzi Mkuu, na hivyo kuwafunga midomo wanachama kuhoji sababu za kufeli kufanikisha ahadi walizozitoa wakiwa wanawania uongozi ktk uchaguzi uliopita......
Wanachama wa Simba walipaswa kuuhoji uongozi wao kwanini wameshindwa kubeba kombe, kwani Kama wangekua na mipango mizuri, wangeweza kuchukua ubingwa mapema sana licha ya hizo poit 3 za kagera, kwani ikumbukwe simba iliwahi kuiacha Yanga kwa zaidi ya point 8,...leo wanapokuja kuwajaza ujinga wanachama, ni kushindwa kuwajibika.. Na wanachama wanapelekwa na wameshikiliwa akili zao hawafungui fikra zao, waishia kulilia point 3.....
Wanachama pia walipaswa kuhoji, kwanini kulifanyika uzembe ktk kukata rufaa...... Hapa ndipo ndg zangu wanachama wa Simba wanapelekwa puta kitoto zaidi...... Hans Pope anajifanya Kama haelewi maamuzi ya TFF......
walichosema TFF ni Kwamba,....hawawezi kujadili swala la uhalali wa mchezaji Kama alipata kadi tatu za njano au hakupata.....hata iwe kwamba mchezaji alikua na kadi tatu za njano, kanuni za awali za kukata rufaa hazikufatwa, means zilikiukwa,.... Na kanuni zikikiukwa, rufaa haitoweza kusikilizwa,...na rufaa ikishakosewa Mara ya kwanza hupaswi kurudia kukata tena rufaa
1. Rufaa inakatwa ndani ya masaa 72...Simba walienda nje ya mda

2. Rufaa huambatanishwa na Ada ya malalamiko ambayo ni 300,000...Simba mlipeleka sound to......

3. Kikao kinahudhuriwa na wajumbe wa kamati ya masaa 72..kikao kilijaa wageni waalikwa, wajumbe hawakutimia...

Hayo yote hayaruhusu malalamiko yenu kusikilizwa.... Issue sio kadi za njano tatu, issue ni KANUNI.
ikumbukwe kila ligi ina kanuni zake, na kanuni hizo hubadilika msimu na msimu kadili ya mapendekezo ya bodi ya ligi na changamoto zilizooneka kwenye msimu ulioisha...... Hapa hata wakienda FIFA ni matumizi mabaya ya pesa tu na kuwajaza giza wanachama...
Viongozi wa Simba wakubali tu kwamba hawakuweza kulifanya lililotazamiwa na wanachama wao,.... Sasa wao wakilia, na wanachama wanalia.... Wanachama mna mengi ya kuhoji na kuwahukumu.... Hapo mmebugi wenyewe msitafute mchawi.....
 
Kama we ni mpenzi wa simba na umenena hivi nitakupa HEKO
 
Mimi si mwanachama ila nilipenda uchezaji wa simba. Kiukweli viongozi wa simba wamewalaghai wanachama wao. Kwakikosi walichokuwa nacho ni aibu kulilia point 3. Hizi ndizo sababu za kupoteza ubingwa.
1. Kucheza bila malengo. Timu ilikuwa ikifunga goli 2 tu wanaridhika.
2.Viongozi kuangalia maslahi yao kabla ya timu.
3. Kocha kubadili kikosi kila mechi hivyo kutokua na first 11 kwa msimu mzima wa ligi.
4. Usajili wa stricker wasio na macho ya magoli.
5.kupoteza wachezaji mahiri kwa tamaa za viongozi.eg Mbaraka Yusuph,Hassan Kessy na singano.
KUNA HAJA YA WANACHAMA WA SIMBA KUWATOA KINA AVEVA NA KUNDI LAO maana wameidhalilisha timu kwa kipindi chao chote.
 
Mdau nikukumbushe kuwa Simba ni SPORTS CLUB na sio Football Club. Sport Club maana yake wanayo haki ya kucheza michezo mingine, mpira wa meza ukiwa mmoja wapo.
 
Kwahiyo mimi kuongea ukweli nimekuwa mbumbumbu! Hiyo mbumbumbu fc ya wapi. Ndiyo maana tunashindwa kuukuza mpira wetu kwa kuendekeza ujinga kama huu. Badala ya kujadili hoja watu mnaleta ujinga wa vijiweni. Ok nyie ambao ni werevu fc endeleeni kujadili.
 
Back
Top Bottom