The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,512
- 10,674
Udhalimu haujawahi kumwacha mtu salama nyakati za CCM kupata ushindi kwa njia za ujanja ujanja zipo ukingoni.
CCM wanadhani No reform No election ni agenda ya Lissu kumbe ni watanzania wote. Bila chadema kushiriki uchaguzi tutashuhudia aibu kubwa sana mwaka huu.
Kwa sasa namwona Askofu. Gwajima anavyokuja kasi, naona CCM wakihaha tena ukamataji wa. Lissu haujasaidia lolote na vuguvugu la mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
Chadema haifi, Hata kwa tone tone mwitikio wake siyo wa kitoto watu wataibeba chadema mgongoni hadi mwisho maana wana imani kubwa sana na chama hiki.
CCM wasipokubali ukweli wataondolewa madarakani kwa aibu kubwa sana watajutia sarakasi zao za sasa
Ameni