wamasai wakizaliana ngorongoro kuna mpango gani dhidi ya ongezeko lao?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
3,196
4,318
tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?hifadhi zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho?

je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?
 
tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?mbuga zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho?

Mpango sio kuwaondoa kwa nguvu na kuleta wawekezaji. Ni lazima waambiwe consequenses za kuendelea kuwa wengi kuliko wanyama na hatma yake.
Kuwalazimisha kutoka bila kuwahusisha sio njia mbadala. Ni kweli maeneo yale lazima yatunze. Ila sio kufanya mambo kibabe wakati ushirikishwaji wa athari zake haupo
 
tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?mbuga zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho?

je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?
Mbuga zenu?🤔🥺🙇🏿‍♂ Kuwapa Wamasai hifadhi!?🤔
 
Ngorongoro sio mbuga

Ni hifadhi, moja ya sababu kuwa hivyo ni upekee wa binadamu kuishi na wanyama.

Njia za kukabiliana na hayo zipo na zimekuwepo muda mrefu
 
tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?mbuga zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho?

je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?
Watatoka tu kisayansi. Sema mara hii waliokuwa front hawakuwa makini. Ngorongoro itakapokufa bado SERIKALI hiyo hiyo ITALAUMIWA sana na WANAHARAKATI hawa hawa.

Kumuua kobe kunahitaji TIMING
 
tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?mbuga zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho?

je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?
kwamba wanyama ni bora kuliko wamasai?
kwamba waarabu ni bora kuliko wamasai?
Je hao wanyama wa ngorongoro wanafaida gani? hifadhi inaingiza poto kiasi gani?
 
Nani kwanza aliruhusu hawa washamba wakaishi na kufuga kwenye hifadhi?

Kwanini hakuruhusu wafugaji wengine kama wakurya na wasukuma kufugia kwenye hifadhi zilizowazunguka?

Hawa wafugaji wengine Kila siku wanahangaika na mifugo yao na hakuna anaejali, sasa na wao wapewe hifadhi wachungie mifugo yao.
 
Back
Top Bottom