Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,096
- 5,592
Wakuu,
Kuna watu wameenda kuitisha press kupinga ile kauli ya Heche kwamba watu waende mahakamani kushuhudia ksi ya Lissu Tarehe 24.
Hii nchi inahitaji ukombozi mkubwa sana wa kifikra. A total social autopsy is needed.
-----------------------------
Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki kwenye mkusanyiko wa CHADEMA Aprili 24, 2025, katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi ya Tundu Lissu inatarajiwa kusikilizwa.
Soma Pia: Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake kusikilizwa Aprili 24, 2025
Viongozi wa makundi hayo wamesema wataendelea na shughuli za kiuchumi na kupinga maandamano, wakisisitiza umuhimu wa amani na mshikamano.