Kama kinachozungumzwa kuhusu huyu mjusi kingekuwa kweli basi nusu ya watu wote duniani wangekufa!Makala hii Kwa lugha ya kingereza inaeleza njia za kumdhibiti Mjusi hatari mwenye sumu Kali ya kuweza kutekeleza familia yote.
Huyu Mjusi makazi yake makubwa ni kweli nyumba ambapo hufuata wadudu.
Ikitokea Kwa bahati mbaya Akafikia chakula na wanafamilia wakaja kukila aisee hesabuni msiba Kwa Kila aliyekula.Huyo ndio Wall.
View attachment 2764803Five ways to control wall geckos in your home
Wall geckos are household reptiles that can be very dangerous. The presence of this reptile can make you uncomfortable because it istribuneonlineng.com
Paka akila huyo mjuzi anang'ata shuka, kiumbe pekee niliyeona anasurvive ni sisimizi wao bhana wanamla vizuri tu mpaka anaisha, sa sijui wanakufa ila kwa wingi wao ni ngumu kujua? hilo sifahamu.Dawa yao fuga paka tu. Mimi paka wangu amewamaliza mijusi yote na akaenda kwa jirani akawamaliza wote. Unampata mjusi mmoja mmoja naye akipatikana hamna rangi anaacha kuona mbele ya nyau
Ni kweli wana sumu tena kali sana kukaa kwenye migomba haimaanishi wanalamba ndizi kwa ndani ya ganda lake.Hao mjusi nyumbani kwetu wapo wengi kuliko maelezo, shuleni walikuwepo wengi hata jikoni, kwa bibi zangu wote hao gecko wapo.
Huwa nawapenda sababu wanakula wadudu hasa ukiwa na bustani inayolisha wadudu wanaoruka kama mbu.
Sipendi nyumba isiyo na mijusi huwa ni dalili ya uwepo wa kemikali na mazingira artificial sana. Kukiwa na kemikali nje huoni wadudu, wakikosekana wadudu huoni hao mijusi.
Kama wangekuwa na sumu hiyo basi wakulima wa ndizi wangeshakufa wote. Hao wadudu na migomba ni kama kijana wa Arusha na bangi
WanaPaka akila huyo mjuzi anang'ata shuka, kiumbe pekee niliyeona anasurvive ni sisimizi wao bhana wanamla vizuri tu mpaka anaisha, sa sijui wanakufa ila kwa wingi wao ni ngumu kujua? hilo sifahamu.
....Wameishakufa Wangapi Tanzania Kwa Mjusi huyo ?...
Kweli aise coz wapo karibia kila nyumba ,ucku ukiwasha taa utawaona wapo kibaoKama kinachozungumzwa kuhusu huyu mjusi basi nusu ya watu wote duniani wangekufa!
Sisi Waafrika huku kazi kulogana na uzinzi, ila binadamu kule duniani walishafanya classification ya reptiles hatari na hawa common house gecko hawapo kwenye wanyama wenye sumu.Ni kweli wana sumu tena kali sana kukaa kwenye migomba haimaanishi wanalamba ndizi kwa ndani ya ganda lake.
Wanadai akiangukia kwenye maji au chakula akafia humo ndiyo hutema sumu hiyo.Sio Kweli
Home lizardau wengine wanawaita Wall gecko hana sumu kabisa na wala hana madhara kwa binadamu. Zaidi wana msaada mkubwa wa kukamata mbu, mende na wadudu wengine
Wapo wajusi wenye venom kama nyoka ila sio huyu
Wengine wanadai kuwa anasambaza magonjwa ila sio kweli
Kama una Mtu aliyeathiriwa na huyu Mjusi hebu tupe ushahidi hata kutoka kwa Daktari.
Uongo mtupu! Hawa mijusi wanakula wadudu pekeeWanapokula si wanatoa ulimi so anapopaka paka.
Hawa wanatafuta vyakula Kwa ulimi
Wanadai akiangukia kwenye maji au chakula akafia humo ndiyo hutema sumu hiyo.
Ni kweli mkuu, sidhani kama ana madhara mengine akiwa hai .Hapo unaongea vitu vya maana Mkuu.
Sahihi mkuu.Sio Kweli
Home lizardau wengine wanawaita Wall gecko hana sumu kabisa na wala hana madhara kwa binadamu. Zaidi wana msaada mkubwa wa kukamata mbu, mende na wadudu wengine
Wapo wajusi wenye venom kama nyoka ila sio huyu
Wengine wanadai kuwa anasambaza magonjwa ila sio kweli
Kama una Mtu aliyeathiriwa na huyu Mjusi hebu tupe ushahidi hata kutoka kwa Daktari.
Uongo. Matenki ya maji shule yangu ya msingi, sekondari na nyumbani kwetu hawa gecko walikuwa wanadondoka na hatujafa.Wanadai akiangukia kwenye maji au chakula akafia humo ndiyo hutema sumu hiyo.