waliyovamia jangwani bondeni walivunjiwa wakalalamika wakaenda kuvamia mashamba ya watu

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
ukistajabu ya musa utayaona ya firahuni
wavamizi waliovamia jangwani wakajenga eneo ambalo sio lakwao wameenda kuvamia eneno lingine bila kupewa eneo na mwenye eneo na wanajenga
nashauri serekali ichukue hatua haraka sana kwa sababu lazima.watavunjiwa tu kwa mujibu wa sheria
sasa serekali isipochukua hatua wavamizi waliovunja sheria kwa kuvamia maeneo yasiokuwa yakwao wataanza tena kulalamika oh sisi tumekaa hapa kwa muda mrefu sana oh serekali ilikuwa wapi wakati tunajenga oh serekali itufidie maeneo mengine
hii tabiaa lazima ikomeshe tena sk hizi kuna baadhi ya wavamizi ni matapeli wa mashamba ya watu kwa kujifanya wanamaisha magumu
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…