sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,099
- 8,727
Heka heka za uchaguzi zinaendelea nchini Tanzania, Maajabu hayakosekani Mtandaoni IKIWEMO JF, CHADEMA wanaandikwa sana kuliko CCM, CHADEMAna Act ya zitto walau kule X ndo balaa kabisa.
CCM kama chama tawala kule X anaonekana Waziri wa FEDHA akinyoa nywere saloon ya Buku jero, akinunua mhindi azarani, na akinywa chai na chapati kwa mama ntilie.
Anaonekana Dr. Mollel akiwambia WANANCHI maendeleo hayajaletwa na Kodi zao Bali ni fedha za CCM😆😂😅😃🤣✍️hii ndo inaitwa wajinga ndio waliwao!
Viongozi wa CHADEMA wote hakuna hata Mmoja yupo MAKAO MAKUU wote wamesambaa mikoa mbali mbali, ili hali mwenyekiti wa ccm yupo Moro anatunukiwa PhD ya HESHIMA kwa uongozi Bora.
Kule x anaonekana Makalla akisema inapofika wakati wa kugombania dora CCMhawana huruma, hii KAULI Haina tofauti na bashiru yakuwa watatumia haya vyombo vya dora KULINDA dora.
Kupata taarifa na matukio kimkoa kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wagombea wa CCM ni wengi kuliko wa wapinzania najiuliza mbona CCM hamwonekani mmafanyia kampeni chooni?
Msioonekana mtashinda kwa kura za kishindo kweli kwa Dunia ya Leo ambayo ukijamba tunakusikia harufu ya ushuzi wako hata kwa njia ya simu?