ElBaradei Member May 4, 2017 40 14 Jun 10, 2017 #1 Wakuu kutokana na kuenea taarifa za kupigiwa simu na WCF kuenea sana jana leo. Basi tunaomba waliopigiwa watujuze waliomba nafasi/position gani ? Asanteni na karibuni kwa ufahamu zaidi.
Wakuu kutokana na kuenea taarifa za kupigiwa simu na WCF kuenea sana jana leo. Basi tunaomba waliopigiwa watujuze waliomba nafasi/position gani ? Asanteni na karibuni kwa ufahamu zaidi.
L lede lede Senior Member May 7, 2017 140 63 Jun 10, 2017 #2 nakuona bwana utafiti.....wengi walipigiwa office assistant
ElBaradei Member May 4, 2017 40 14 Jun 10, 2017 Thread starter #3 lede lede said: nakuona bwana utafiti.....wengi walipigiwa office assistant Click to expand... asante kwa taarifa mkuu.... tukiweza kujua wamepigiwa positions gani basi watu wanaweza wakawa na matumaini ya kusubiria nafasi zingine..
lede lede said: nakuona bwana utafiti.....wengi walipigiwa office assistant Click to expand... asante kwa taarifa mkuu.... tukiweza kujua wamepigiwa positions gani basi watu wanaweza wakawa na matumaini ya kusubiria nafasi zingine..
L lede lede Senior Member May 7, 2017 140 63 Jun 10, 2017 #4 ElBaradei said: asante kwa taarifa mkuu.... tukiweza kujua wamepigiwa positions gani basi watu wanaweza wakawa na matumaini ya kusubiria nafasi zingine.. Click to expand... yah nikweli maana nafas zilikua sehem nyingi tofauti tofauti
ElBaradei said: asante kwa taarifa mkuu.... tukiweza kujua wamepigiwa positions gani basi watu wanaweza wakawa na matumaini ya kusubiria nafasi zingine.. Click to expand... yah nikweli maana nafas zilikua sehem nyingi tofauti tofauti
lucky lefty JF-Expert Member Feb 16, 2017 491 454 Jun 22, 2017 #5 naskia wameitwa wale waliokuwa wanafanya Internship pale
L lede lede Senior Member May 7, 2017 140 63 Jun 22, 2017 #7 lucyshilima said: mbona sijapigiwa....na niliiomba... Click to expand... umefeli
lucky lefty JF-Expert Member Feb 16, 2017 491 454 Jun 22, 2017 #8 lucyshilima said: mbona sijapigiwa....na niliiomba... Click to expand... Mjini hapa watu washafanya yao
lucyshilima said: mbona sijapigiwa....na niliiomba... Click to expand... Mjini hapa watu washafanya yao