Dalili zinaonesha kwamba, watumishi wa Umma walioanza kazi mwaka 2009 mwezi wanapanda daraja, hivyo watakuwa daraja moja na walioanza kazi miaka ya 2003. Hawa wote wana sifa moja.
Kama ni kweli ikatokea hivyo, mtakuwa mmewatendea nini hawa walioanza kazi miaka ya 2003?
Hatuoni kuwa tutasababisha kudharauliana katika vituo vya kazi?
Mimi nadhani walitakiwa wapandishwe/waserereshwe kwanza walioanza kazi miaka ya 2003 ndipo waje walioanza kazi mwaka 2009 au wangepandishwa daraja wote kwa pamoja ili kuepuka kuwakutanisha kimadaraja watu wenye sifa moja lakini walianza kazi kwa miaka tofauti.
Kama wote wanafanyiwa kazi basi itapendeza, kinyume na hapo italeta shida sana.
Nawasilisha.
OR TAMISEMI