Walio na uchu wa madaraka toka CHADEMA sasa ni ruksa kujiunga na vyama vingine

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
1,011
1,749
CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.

Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
 
na kwa namna hiyo watakuwa wamejiengua toka cdm automatically, hapatakuwa na makelele tena, waliobaki wote watakuwa na lugha moja. na hatutegemei waondoke na waendelee kuongea.
 
Sasa utapita wapi🤣🤣🤣
Usalama wa raia uko imara sana
Yani nishindwe kupita we waliombeba lissu walipita wapi watanzania ni hodari sana wakuangalia mchezo tu si kutetea!, utapiga kelele ukiwa begani halafu huko napokupeleka namimi naenda kukupiga kura!, mbogamboga mmetuchosha!
 
CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.

Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.

Kuvuja kwa pakacha.....

Hata wangeshiriki wangepata kura afumbili tuu😁😁😁
 
Yani nishindwe kupita we waliombeba lissu walipita wapi watanzania ni hodari sana wakuangalia mchezo tu si kutetea!, utapiga kelele ukiwa begani halafu huko napokupeleka namimi naenda kukupiga kura!, mbogamboga mmetuchosha!

Nayatunza haya maneno hadi October 2025
 
Back
Top Bottom