Walinzi walivyoitikia tukio la kupigwa risasi Rais Ronald Reagan wa Marekani, linganisha na tukio la Trump

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
45,300
63,764
Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!

GSY2ZwAWwAAXivk.jpg

KWA HILO TUKIO TUNGEKUSANYA WOTE WALIOKUWEPO MPAKA JF tuwapeleke kalakana ya mikocheni
 
Reagan alikuwa Sitting president - the most powerful man..well more protected, more valued, namna alivyojeruhiwa na namna mfayatuaji alivyomimina...

Trump, ex president, no no longer valuable kama angekuwa yupo madarakani, risasi haikumpata vizuri - unafikiri jamaa angepiga jicho au angemfumua kichwa Trump angekuwa na nguvu za kunyanyua hata huo mkono..kikubwa na zaidi yupo kwenye kampaign za urais lazima atengeneze mazingira ya kutumia tukio kwa faida yake
 
Sio sawa kulinganisha matukio mawili yanayotofautiana mazingira.

Ulinzi wa Rais aliyeko madarakani na mgombea urais hauko sawa.

Pili, mmoja yupo kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi na mwingine alikua anatembea.

Enzi zimebadilika, ikijumuisha namna ya kuendesha zoezi la usalama zimebadilika pia.
 
Rais wa 40 wa Marekani Ronald Reagan naye aliwahi kushambuliwa na risasi mwaka 1981, angalia secret service wake walivyo react halafu ulinganishe na hawa wa Trump waliokuwa wanaambiwa na Trump wasubiri apige picha na wao kweli wakamwachia awe exposed kichwani kupata picha tu!
View attachment 3042154View attachment 3042155
Chodaachodaa kwañI huo ulinganifu mbona tukio moja unapotosha kwa manufaa ya nani1😅
 
Back
Top Bottom