A
Anonymous
Guest
Walimu katika Halmashauri ya Mvomero wanalalamika juu ya kutolipwa fedha ya za likizo kwa zaidi ya miaka 5. Lakini cha kushangaza kuna baadhi ya walimu kila mwaka huenda likizo na kulipwa fedha zao.
Hao wanolipwa kila mwaka ni akina nani na wale ambao hawalipwi hata wakifuatiallia wana nini?
Wanaishia kurushwa rushwa tu! Wizara husika iingilie kati na na kushughulikia kero za walimu ambao hawajalipwa fedha za likizo kwa miaka mingi.