Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,529
- 30,756
Ni nyinyi pekee ndomnachapa wateja wenu. Yani umetoka kwenu mbwinde huko umechakaa unanuka ufundo Kwa bahati ukapata ajira lakini unakuja kuanza kuchapa watoto wa watu Kwa hasira zako zakidwanzi. Halafu Dunia ya sasa ni money oriented nasio elimu ukiona mwanafunzi haelewi kimasomo au kitabia sio lazima kutumia fimbo tumieni njia za kidiplomasia Kaa na mwanafunzi Meza moja muulize shida nini mpaka awe hivyo
Unakuta mwalimu eti anataka wanafunzi wapate division one ilihali yeye ana three ya mwisho na mafour ya 28 huko. Kufeli kwako shule ndokumekupelekea ukawa huna option zaidi ya ualimu Sasa usitaki kuforce mambo unaanza kuchapa watoto Kwa stress zako, ungesoma Kwa bidii uwe afisa wa TRA au kwenye mashirika ya TPDC huko
N. B. mkiendelea kuwachapa mtafia jela wote maana watoto wa siku hizi niwakisasa sio ngozi ngumu kama zenu zenye shida, dhiki, tabu na laana