Walikale, ampapo kuna mgodi wa Alphamine wa Canada, na mingine ya wa Belgiji, tayari ipo mikononi mwa AFC/M23

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Jan 31, 2025
398
671
Walikale, ampapo kuna mgodi wa Alphamine wa Canada, na mingine ya wa Belgiji, tayari ipo mikononi mwa AFC/M23.

Hakukuwa na mapigano, kwa sababu toka juzi, wanajeshi wa FARDC na washilika wao, walianza safari ya kuelekea Kisangani, ambapo umbali ni kilomita mia nne na ushee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom