Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 14,858
- 31,650
hivi mkuu anavyosema wasichana watakaopata mimba hawatasoma waende private,hivi ni kwamba hajui watoto wanaosoma shule za serikali wengi wazazi wao ni wale wa kipato cha chini???kama wangekua na uwezo si wangewapeleka watoto wao huko private schools in the first place????hivi mkuu haoni kuwa watakaoathirika most ni wale wanaotoka kwenye familia duni,and it makes sense if you think about it;hao watoto ni vulnerable Zaidi,namaanisha wako at risk kurubuniwa kwa vitu vidogo ambavyo mzazi hana uwezo wa kugharamia???!
anyway anzisheni shule online, watabenefit kupata elimu kwa njia hio,kama kuingia darasani physically ni ishu then tengenezeni platform ,ambayo italenga kumuelimisha huyu mama mtarajiwa at home
najua kuwa na internet na computer itakuwa challenge,kwani familia zao ni duni,mie ningependekeza kuwe na kama NGO,ambayo mnaweza kuiombea msaada,specific wa kuelimisha watoto waliobeba ujauzito,trust me utapata misaada mingi tu,
Magufuli,maendeleo sio kujenga chato,ni kuelimisha waTanzania Zaidi na Zaidi ,kila mtu capable wa kusoma asome,disabled,grown ups,pamoja na watoto waliopata mimba shuleni.............EVERY ONE!!! wewe kazi yako ni kuwajengea system kila mtu abenefit,again maendeleo ni kuwa na educated work force/nation.