Wale wanaoicheka North Korea

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,154
31,201
Utasikia North Korea maisha magumu, north korea iko hoi kiuchumj.
Hebu tazama mji wao mkuu utaulinganisha na mji wa nchi gani Afrika?
Halafu nchi ambayo huruhusiwi kujenga au kuuza makazi, makazi yanajengwa na serikali na kuwa assigned kwa familia ikiwa ina maana kwao makazi ni kapaumbele.
Muda mwingine propaganda za West za kutuaminisha kwamba lazima maisha yafuate mpangilio wao ni ujinga.
images (19).jpeg
images (18).jpeg
shutterstock-347247527.jpg

Na hii kumbuka ni nchi ambayo US alipiga mabomu akaharibu miundo mbinu na makazi yake kwa asilimia kubwa. Aliharibu karibu kila kitu lakini pamoja na sanctions na kujitenga na dunia ila imepiga hatua kuliko sisi wapiga domo wa Afrika

shutterstock-347247527.jpg
 
Aisee, sisi kwa hakika kuna tatizo mahali.....na mahali hapo anajua Mungu pekee alichokidanya!
 
Back
Top Bottom