Wale Tunaopenda Kuandika Ebu Pitieni Hapa

Etugrul Bey

JF-Expert Member
Aug 6, 2020
6,497
15,209
Screenshot_20250122_233650_Google.jpg

Waandishi mambo vipi,hapa nazungumza na wale wote ambao huwa tunaandika humu jukwaani,iwe topic yoyote na mambo yoyote yale na hasa hasa wale wataalamu wa itaendelea

Kwanza ifahamike kwamba ili msomaji apate hamu ya kusoma maandishi yako basi hakikisha unafuata kanuni za uandishi walau kwa uchache kwa yale mambo muhimu ili andiko lako lipate kusomeka bila kumboa msomaji

Tuzingatie paragraph pale tunapoandika,wengi wetu tunaandika bila kuzingatia huu utaratibu,na hapa naongea na wale ambao tunaandika andiko refu,kuna maandiko humu hasa ya story hakika yanaboa sana,yani mtu anaandika kama anafukuzwa au ameshikiwa bunduki,hakuna paraghaph,hakuna kituo kidogo wala kikubwa

Hamjui tu lakini huwa mnatufanya saa nyingine tuache kusoma story yako kwasababu ukiiangalia ni mlundikano wa maneno mengi hakuna space,hakuna koma wala hakuna paraghaph,yani kama umelazimishwa kuandika

Saa nyingine au wakati mwingine unajilazimisha tu kusoma huenda story tamu lkn tunasoma kwa maumivu makubwa sana,tena hawa wa itaendelea hawa ndio balaa,wengi wenu mnazingua sana

Kwahiyo andiko hili ni kukumbushana kama unaamua kuandika basi wakumbuke na wasomaji wako,wafanye wapate mtiririko mzuri ambao utamfanya mtu avutiwe kusoma andiko lako,unajua muenokano tu na mpangalio wa andiko lako likiwa katika paraghaph nzuri hakika huleta hamu ya msomaji kuvutiwa kusoma andiko lako

Nayasema haya kwa roho safi,mimi ni mmoja wa watu ambao nikiona andiko halina mpangalio mzuri huwa naboreka mapema sana,naamini tupo wengi sana ambao hatuvutiwi na kazi ambayo haina muonekano mzuri

Hakuna aliyezaliwa anajua kuandika lakini tunaweza kujifunza walau kwa kiasi fulani kuandika katika namna ambayo itamvutia msomaji

Ni hayo tu!
 
View attachment 3210543

Back
Top Bottom