Tetesi: Wakuu wa mikoa na Wilaya!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,252
8,003
Kuna mnyetishaji wangu amenitonya kua mwaka huu Mh Rais katka utezi wake wa Ma-RC na DC ataangalia tuu wale wenye msaada zaidi kwa Taifa na wanaojitolea kulish taifa kimaendeleo na wahatahangaika wenaohanaikia matumbo yao zaidi au maslahi ya chama.


Kwa maana hiyo wale ambao wanategemea nafasi hizo kama fadhila au Shukrani waendelee kusubiri na watasubiri sana.
Zaidi mtu wangu huyo wa karibu na kwa ofisi nyeti inayoratibu upatikani wa watakaofiti nafasi hizo ameninyetisha kua Mh Rais hataki blaa blaa za nyuma,anata matingatinga yatakayotii maagizo yake bila shuruti.


Huenda hizi nafasi zikajawa na wengi wenye nafasi kama maofisa katika vyomba vya ulinzi na usalama zaidi.


HAYA YALIKUA NI MAONI YA MDAU HUYO NA SIO TAARIFA KILI! SAIDI TUSUBIRI.
 
Una maana wale vijana wa mitandao,waliokosa ubunge,mhariri wa Jambo Leo,Wema Sepetu,Hadija Kopa,Anthony Diallo
hawatakumbukwa?
Wale vijana 46 watakopeshwa mitaji ya biashara yenye riba nafuu, wasanii kazi zao zitalindwa vema, Dialo atapewa nae mkopo wenye riba nafuu kupanua na kuboresha vyombo vyake vya habari. In short hiyo ndio maana ya wapendwa hao kukumbukwa na Mh Rais.
 
Ubunifu na maendeleo ndio yanatakiwa kama hawayaoni hayo waondoke tu, huoni anaehangaika na uwekezaji wa maji. Kero za watu hawazioni au wakinywa dasani wanaona wote wameridhika?
 

Huyo 'mnyetishaji' wako ni jibu. Kwanini atoe nje siri za ndani ya serikali. Awamu hii tunataka ifanane na awamu ya Mwalimu. Sasa kumbe bado wapo watu kwenye nafasi nyeti wana kiherehere cha kutoa mambo ya serikali nje?!
 

Upuuzi mtupu.
 
Wale vijana 46 watakopeshwa mitaji ya biashara yenye riba nafuu, wasanii kazi zao zitalindwa vema, Dialo atapewa nae mkopo wenye riba nafuu kupanua na kuboresha vyombo vyake vya habari. In short hiyo ndio maana ya wapendwa hao kukumbukwa na Mh Rais.
Tatizo la diallo wafanyakazi wake bora wa tv na radio station walishamkimbia hivyo sasa hivi yeye kwenye vituo vyake hivyo kazi iliyobakia ni kutangaza dawa za mitishamba na kwenda kuombewa
 

Huu uandishi wa wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…