GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,453
- 120,812
Siyo Paul Makonda ni Paul Makomedi.Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda anawawakilisheni kwa ujumla wenu wote?
Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda anawawakilisheni kwa ujumla wenu wote?
Wakuu wa mikoa wanaojua wajibu wao hawawezi kufanya komedi za MAKOMEDI. Wameamua kumwachia komedi zake akiona zinadoda atawashirikisha Ze komedi.Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda anawawakilisheni kwa ujumla wenu wote?
Bandari,kariako,JKNA si zipo Dar?Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda anawawakilisheni kwa ujumla wenu wote?
Ila hii ya Mwanza noma. Wamegunduaje haraka?Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda anawawakilisheni kwa ujumla wenu wote?