Wana jf
Salaam.
Katika utaratibu wa kuitisha mikutano ya mabaraza ya biashara ya mikoa hususani katika suala la biashara na sekta binafsi nchini, wakuu wa Mikoa minne tu nchini ndio walitekeleza hilo na kuacha wakuu wa mikoa 22 Tanzania bara ambao hawajatekeleza agizo hilo mikutano yabmabaraza ya biashara hutathmini biashara za sekta binafsi katika Mikoa, hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa taasisi ya sekta binafsi nchini ( TPSF) ndugu Godfrey Simbeye katika tathimini ya sekta binafsi na mabaraza ya biashara nchini.
Chanzo: ITV