Wakuu naombeni msaada, nichukue router ipi kati ya hizi?

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
1,025
1,173
wakuu kwema

hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel
ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G

wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi

naishi Tabata segerea.
 
IMG_20230921_133701_1.jpg

Airtel naskia wanakifurushi cha mpaka elf 70, huyo ni mkombozi wa wanyonge.
 
wakuu kwema

hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel
ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G

wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi

naishi Tabata segerea.
Unaponunua router ya kampuni ya simu usiangalie matumizi ya leo tu. Angalia na matumizi ya baadae.
Kiufupi angalia routet ambazo unaweza ku-unlock na ukaweza kutumia mitandao yote huko mbeleni.
 
sababu ya pili ni kwamba airtel ni prepaid yani ukimaliza tarehe ya malipo bundle linaisha unamua ulipe au usilipe .. tofauti na vodacom na wengine ambao kulipia kila mwezi is a must.
 
Router yenyewe bei gani kwanza?,

kuna moja niliuliza nikakuta 650k (tigo kama sikosei) nikasema dah hata kama bei ni ya kizalendo kuna hadi kuna kifurushi cha 70k ila hiyo bei ya router sio poa
Ukienda Airtel kwenye maduka yao watakuuzia kwa Laki 2, then unajiunga bando 70K unapata 10mbps unlimited mwezi mzima.
Kua makini wasije kupa kile cha bure, kifurushi chake ni laki na kumi kwa mwezi.
 
wakuu kwema

hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel
ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G

wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi

naishi Tabata segerea.
Angelia router ,itakayo support line zote, ili uwe unabadilisha tu ukitaka voda au airtel were hauwazi. kuna router walikuwa nano TTCL zilikuwa zinasupport line zote.for the long run inakuwa na Faida.hiyo bundle utafurahia mud chache tu Baada ya hapo router Haina Kazi tena
 
Ni ha 5g pia hiyo ya ttcl?!
 
Back
Top Bottom