Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,268
- 6,828
Habari zenu, kwenye picha hapo chini ni Jiwe nimeliokota ila silijui aina yake kama unajua chochote kuhusu basi nifahamisheni.
Wanakuja
ni uchafu wa aina gani?Mnahamisha uchafu mnahamishia ndani
Wa maweni uchafu wa aina gani?
Black DiamondHabari zenu, kwenye picha hapo chini ni Jiwe nimeliokota ila silijui aina yake kama unajua chochote kuhusu basi nifahamisheni.View attachment 3041241View attachment 3041242
Hapo hukosi madini ya chuma, silver, cobalt, na mengineyo ya thamani, omba Mungu madini ya maana yawe na quantity kubwa kuliko chuma.Habari zenu, kwenye picha hapo chini ni Jiwe nimeliokota ila silijui aina yake kama unajua chochote kuhusu basi nifahamisheni.View attachment 3041241View attachment 3041242