Au walioingia Mikataba ile hawakutoa mgao kwa waliongia? au mgao ulikuwa Mdogo? au CCM wizi uliopo mmejua ni hatari kwa Chama chenu ndio mmeamua kutudanganya tena kama kawaida yenu? kujifanya ni wema na mna uchungu na Raia wenu.
Kama Wachina ni Wezi, je ile Mikataba aliyoisema Halima Mdee yote ni yawizi ndio maana mliificha? Hebu tuambieni kama wa Gesi ni wakifisadi, hiyo mingine vipi?
Kwahiyo CCM Watanzania kuamua kubaki na amani yao hampendi? uchafu wote huu mnaoufanya wa kuwaibia na kuwanyanyasa na MapolisiCCM wenu mnaona ni wajinga?
Mfano mdogo, Mkuu wa Mkoa anawatimua machinga, Raisi anawarudisha, hapo mbona kama kuna kutengenezeana kiki?
Mungu anawaona, Nchi hii amani iko mikononi mwa Wananchi, Nyinyi mlishaichia zamani sana kwa ubabe wenu na manyanyaso ya mapolisi wenu, Wananchi nao wakiiachia msimtafute Mchawi.