Wakulima wa parachichi aina ya hass.

hakuna gharama kvile ila kuna mdudu moja tu anaesumbua anaitw false codling moth dawa yke ni 90 elfu inayowz kutreat zaid ya 3acre bt infestation zngne za kawaida..... na uhakika wa soko uko poa sn since evry day consumed...... kwa upande wa mbeya na arusha unawez ukaproduce in contract
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…