MIRA01
JF-Expert Member
- Sep 18, 2023
- 319
- 694
Kuna baadhi ya makanisa yako vzr sana kwenye hili unaingia nyumba ya ibada unakutana na utaratibu mzuri sana wa pande zote na ukaaji wake umepangiliwa haswa haswa
Unakutapa kuna vitii maalumu kwa jinsia ya Kiume na upande mwengine unakuta upande wanaokaa wanawake hii inavutia
Swala hilo huvutia na kuongeza umakini zaidi kwenye ibada za kikristo, swala la changanyikene binafsi nawahurumia jinsia ya kiume ambayo shetani huangaika nao usiku na mchana
Unakuta unakaa na binti mrembo yaani pisi kali kweli kweli mbali na mavazj tuh anakuvutia, unakuta ibada nzima unawaza utampataje? Sasa hapo kuna kuabudu katika roho na kweli? Kweli au kaatika mawazo na matamanio?
Nisii makanisa na sehemu zenye mambo kama hayo wafanye utaratibu madhubuti kuweka sawa kwenye hili maana makanisani kwa sasa ndio sehemu pekee ambapo dhambi huzaliwa kuliko hata kwenye kumbi za harus na starehe
Bado hapo sijagusia mavazi na mwmbo mengine.. kiukweli swala hili linakera na kuboa sana haswa kwa wale wanaonde kuutafuta uso wa Bwana kwenye haya makanisa
Swala hili ndugu zangu waislam wameliweza na wako mbali sana kwenye swala la kumuabudu Mwenyezi Mungu… huwezi kukatiza hata mbele yake wakati wa ibada
Kwahili mimi naona wa kristo waanapuyanga sana kwenye kanisa na kupwaya
Kwani ni wapi kwenye masinagogi walikuwa wanachanganyikana na mbona tamaduni za kiyahudi hazipo hivyo hata kidogo?
Swali nani ameleta haya? Na lini tutamsujudia Mwenyezi Mungu katika roho na kweli?