Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 26,222
- 19,115
Kwani alikuwa mwanamke?View attachment 3116031hii hapa chini ndio Sanamu inayokosolewa👎View attachment 3116032
Kwa hiyo na wewe unakosoaaMacho unayo ila kwa namna moja au nyingine unaambiwa ushuhudie tofauti na kile unachokiona.
Mbaya zaidi ni kupinga huwezi zaidi ya kuongeza chumvi zako.
Wananchi au chawa, sanam liko chini ya kiwango, either mtafute mtu serious wa kufanya hiyo kazi or muache kuaibisha image ya mwalimu j.k.nyerere pumbavView attachment 3116031hii hapa chini ndio Sanamu inayokosolewa👎View attachment 3116032
Mimi simjui lkn nikiangalia naona tofauti. Huyu mweupe nyerere alikuwa mweusiWakati sanamu ni copyright na hayati Baba wa Taifa
Siyo maji ya kundeMimi simjui lkn nikiangalia naona tofauti. Huyu mweupe nyerere alikuwa mweusi
Ulitaka iweje ndugu yangu.Wananchi au chawa, sanam liko chini ya kiwango, either mtafute mtu serious wa kufanya hiyo kazi or muache kuaibisha image ya mwalimu j.k.nyerere pumbav
Nyerere hakuwa mweusi Bali alikuwa maji ya kunde!Mimi simjui lkn nikiangalia naona tofauti. Huyu mweupe nyerere alikuwa mweusi
Maji ya kunde yananuka ukiyaacha kwenye sufuria siku 2Nyerere hakuwa mweusi Bali alikuwa maji ya kunde!
Wewe ni malaria sugu?Maji ya kunde yananuka ukiyaacha kwenye sufuria siku 2
Na wewe anaamini hiyo ni sanamu ya mchonga? Angekuwa hai wote mngekula bakoraView attachment 3116031hii hapa chini ndio Sanamu inayokosolewa👎View attachment 3116032
Na wewe anaamini hiyo ni sanamu ya mchonga? Angekuwa hai wote mngekula bakoraView attachment 3116031hii hapa chini ndio Sanamu inayokosolewa👎View attachment 3116032