Wako wapi Marlaw na Voice Wonder?

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,667
926
Sio siri miongoni mwa wasanii waliokua na best voice na melody zisizochosha marolw na kijana mmoja toka dodom voice wonder na wimbo wake ni mpende nan
Mpaka leo zikipigwa nyimbo za hawajamaa hazichuji na unaweza uka reply utakavyo
Je hawa jamaa wako wapi
Kama wangerudi ingekua poa sana

Kama kuna mtu anao wimbo wa marlow uitwao sorry sana niatachie pliease
 
Bado umenuna na pipiiii nimechoka kupiga honi duuuhh nimecheza sana pale sanaa kabla haijavunjwa ile
 
ngachoka kabisa
 
Sorry sana ninao,
Nakumbuka one of my bestfriends alinidedicate that song,
Me sikutaka kuufatilia kiviiile, akakasirika na urafiki ukavunjika,

Niliumia ila sikujua mpk leo why alikua ananilazimisha niujue huo wimbo,
Mistari yake,
Urafiki wetu,
Jinsi zetu,
Yani mbali mbali,


Ila now umebaki kua ktk moja ya nyimbo nizipendazo.
 
Bembeleza ya marlaw huu wimbo mara ya kwanza kuusikia miaka ya 2007 nilikuwa navuka mto fulani kwa kuuruka kwa mguu asbh ya saa 12...nikiwa ndio naanza kuhangaikia maisha.....nikiusikiaga tu najikuta nakumbuka lile eneo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…