Dogo G
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,052
- 440
Bila shaka mko poa sana wadau wangu wa JF,ebuana ni ghafla katika kutulia zimenijia fikra majina na avatar za hawa wadau [HASHTAG]#stunter[/HASHTAG] na [HASHTAG]#nyaningabu[/HASHTAG] wako wapi hawa?,hususani huyu stunter alikuwa ananikosha sana kwa vijistori vyake vya ujana ujanaa au kabadili ID?