Wakili, Mwanasheria au Mtaalamu wa Mazingira anahitajika.

Arsis

JF-Expert Member
Jan 25, 2024
1,667
5,967
Nawasalimia kwa jina la JMT.

Kunahitajika wakili au mwanasheria wa mambo yanayohusu mazingira, Kibaha, mkoa wa pwani.

Kuna kiwanda kipya kabisa, kimejegwa ubavu kwa ubavu na makazi ya watu. Kianatoa harufu mbya ya malighafi zao na usindikaji wao. kinatoa mvuke wa kemikali unaoweza kua na madhara kwa afya za watu wanaoishi jirani au wanaofanya kazi humo ndani, kinatoa kelele na sauti kali na kubwa usiku na mchana, ambazo wakazi wa jirani nacho inawawia vigumu hata kusikilizana. Kufungua TV au redio imekua ni ndoto kinapoanza kelele.

Tafadhali wakili, mwanasheria au mtaalamu wa NEMC aje PM.
 
poleni sana
 
Back
Top Bottom