Wakili Mwabukusi: Tundu Lissu sio malaika lakini yeye ndio chaguo sahihi kwa CHADEMA

Mindyou

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
1,715
4,455
Wakuu,

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akieleza matamanio yake ya kuona Wakili Tundu Lissu akiibuka kidedea dhidi ya mshindani wake wa karibu Freeman Mbowe kwenye mchakato wa ndani wa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unaoendelea

Mwabukusi wewe si NCCR subir uchaguzi mkuu umpigie kura za Urais.

Hayo unayosema ni mazur kwenye nafasi za kiserikali sio kwenye chama cha siasa...
 
Mbona wewe ni chawa wa ccm na unampigia debe Mbowe?
Au kwa vile anawatumikia?
 
Hivi hadi hapa tulipofikia Mbowe haoni ulazima wa kujitoa kwenye uchaguzi akastaafu kwa amani na heshima?
Kila mmoja anamkataa, tena hadharani!
 
Kama kila mmoja anamkataa basi si muda tu ndio utasema na hao wapiga Kura watamkataa ? Au tunawachukulia uamuzi wapiga Kura ?, Ukizingatia sisi wasemaji wengine hata Kura hatupigi....

Sababu hapa kama issue ni TATIZO la wapiga Kura / Upigaji Kura, Wizi au System iliyopo basi kubadilisha aliyepo juu hakutabadilisha ubovu wa hio System (Na sidhani kama kubadilisha mtu ndio kipimo cha Demokrasia, unaweza ukawa unabadilisha makapi every so often au kuondoa anayefaa wakati bado anahitajika) Ukizingatia wapiga Kura ndio wanaelewa (unless hawaelewi); Pia kama aliyepo Juu ana nguvu kubwa kuliko wengine kwa ujumla wao waliopo chini at any given time basi hio sio Demokrasia bali ni Dictatorship (Na sidhani yoyote atakayechukua hiki kiti atabadilisha that fact)

Wakuu,

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akieleza matamanio yake ya kuona Wakili Tundu Lissu akiibuka kidedea dhidi ya mshindani wake wa karibu Freeman Mbowe kwenye mchakato wa ndani wa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unaoendelea

View attachment 3194083
Na TLS mzuri nani baada ya weye kuwa chawa wa Rais wetu?
 
Wakuu,

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akieleza matamanio yake ya kuona Wakili Tundu Lissu akiibuka kidedea dhidi ya mshindani wake wa karibu Freeman Mbowe kwenye mchakato wa ndani wa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unaoendelea

View attachment 3194083
Lisu hafai kuwa mwenyekiti wa CHADEMA na hawezi kushinda
 
Kwanza mwambieni atoe zile mil 30 za maandalizi ya mkutano mkuu. Kuongoza chama si maneno matupu.
 
Wakuu,

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi akieleza matamanio yake ya kuona Wakili Tundu Lissu akiibuka kidedea dhidi ya mshindani wake wa karibu Freeman Mbowe kwenye mchakato wa ndani wa uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) unaoendelea

View attachment 3194083
Badala ya kujikita zaidi kwenye taaluma ya taasisi ya TLS kutwa kucha yupo polarized na mtizamo hasi kwa wenzie hasa huko CDM.
 
Back
Top Bottom